MARLOW NA BESTA KUFUNGA NDOA JUMAMOSI

Baada ya kuficha uhusiano wao kwa zaidi ya miaka minane wasanii wa muziki wa kizazi kipya nchini marlow na besta wanatarajia kufunga pingu za maisha jumamosi ya wiki hii ya tar 12 Alhamisi ya wiki iliyopita kulikuwa na kitchen party ya mwanadashost besta a.k.a mwari so mimi suleiman na wadau wa blog hii 2nawatakia kila la kheri ktk ndoa yenu
TUPE MAONI YAKO
 

SULEIMAN MAGOMA Copyright © 2011 -- Template created by Suleiman Magoma -- Powered by Magoma Co.LTD